Top Ad unit 728 × 90

⇩⇩ ..UPUNGUFU WA WAHUDUMU WAWEKWA WAZI HAPA

VYETI feki vimedaiwa kuongeza kazi kwa watumishi na wengine kuhamishiwa vitengo vingine ili kuziba mapengo ya walio kutwa na vyeti feki huku walio na vyeti vyenye mashaka wakiendelea kuwasilisha vyeti vyao ili kupelekwa baraza la mitihani la taifa Necta kwaajili ya Uhakiki.
Katika halmashauri ya mji Makambako kati ya watumishi wenye vyeti feki amebainika ni pamoja na dereva wa Gari ya kubebea wagonjwa na kusababisha dereva kuchukuliwa kutoka ofisi ya utawala, huku idara ya afya ikiongezewa upungufu wa watumishi.
Ni upingufu wa kiasi gani na mahitaji ni watu wangapi wa taaluma ya afya hapa Hospitali ya Makamkako Mganga mkuu Halmashauri ya Makambako anasema.
Madhara ya kuondolewa wenye vyeti feki mganga mkuu wa hospitali ya Makambako anasema kuwa yameanza kuonekana kwa kuongezeka kwa?
Halmashauri ya makambako pekee kunawatumishi 42 ambao waekutwa na vyeti feki na wale wenye vyeti vya mashaka ambapo kwa vyeti feki ni 20 na walio kutwa na vyeti vyenye mashaka ni 4 na wengine 18 vyeti vyao vinaendelea kuhakikiwa. FOR MORE STORY VISIT ON YOUTUBE AND SEARCH TZTOWN TV AND ALSO  SUBUSCRIBE OR www.eliabu.blogspot.com  

⇩ ..UPUNGUFU WA WAHUDUMU WAWEKWA WAZI HAPA.....⇩⇩

\\mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmm
⇩⇩ ..UPUNGUFU WA WAHUDUMU WAWEKWA WAZI HAPA Reviewed by Unknown on 11:18:00 AM Rating: 5
All Rights Reserved by What's Up Today © 2014 - 2015
Powered By Blogger, Designed by Sweetheme

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.